Quotes of the day"Live as if you were to die tomorrow. Learn as if you were to live forever."
Harusini Jamaa mmoja baada ya kumaliza chakula kwenye sherehe ya harusi akapewa kijiti cha kutolea nyama zilizonasa, then baada ya muda akamuita mmoja wa wahudumu na kumuambia"samahani mna zile pamba stick za masikioni? Sikio linaniwasha sana"
Heshima Mtoto kaona nyeti ya baba yake, Akauliza "nini hii"? Baba,akajibu "ni Heshima", kesho yake wakaja wageni, baba akamwambia mtoto, "toa heshima kwa wageni", mtoto akatoa Nyeti yake, akaonesha, wageni wakashangaa! mtoto akasema"mnashangaa haka kadogo, baba anayo heshima kubwaaa......!
Singa Singa Singa singa usiku kuchaanajamba ovyo kwa kila aina ya sauti Mkewe akamuliza una nini leo?Akajibu natafuta ringtone ya matakoyangu!!!
Kimombo na sms Jamaa katumiwa msg na dem wake,kutokana na urefu wa msg ikashindwa kufika yote mwishoni ikaandika'some text missing'jamaa kizungu hajui hivyo maneno ya mwisho hakuelewa maana yake lkn akahisi litakuwa neno la kimahaba,kusudi aonekane mjanja akajibu, "some text missing too dear"
Panya mkali....... Panya watatu walikuwa wanabisha nani ni mkali kati yao, Panya wa kwanza;mi naweza kutegua mitego yote ninayotegeshewa Panya wa pili;ni naweza kunywa maziwa hata yakiwekwa sumu Panya wa tatu akainamisha kichwa na kuanza kuondoka,wenzie wanamuuliza we vipi,akaitikia "mi naenda kufanya mapenzi na paka"
Sokwe USA Kwenye zoo moja huko US, kuna sokwe mkubwa ambae alikua ndo kivutio kikubwa cha watalii alifariki, M-Tz mmoja aliajiriwa kwa kuivaa ngozi ya yule sokwe kujifanya yeye ndo sokwe. Cku moja kwa bahati mbaya sokwe huyo aliingia upande wa simba, M-Tz alijua anakufa, akaogopa na akataka kuanza kupiga kelele. Simba alimkaribia huyo sokwe sikioni na kumnongkoneza "ACHA USENG**, TUTAFUKUZWA KAZI"
Tendo la ndoa TENDO LA NDOA LINAVYOOMBWA: WAMASAI: Mama Yeyo nipe ile kitu namesa mwensake WAHAYA: Mama Koku infacti njoo tuperform WACHAGA: Mama Manka Fungua Kibubu nitupe shilingi WAPEMBA: Mama Ali panuapaja mti waja! WAZARAMO:((hamna tafsida)andaa k*#, mb*$$ yaja
Pichu day Leo ni siku ya UVAAJI CHUPI DUNIANI. Watu wote wanasherekea kwa kutaja rangi ya CHUPI aliyovaa leo. Je yako ina rangi gani? Ukikaa kimya maana yake leo hujavaa. Usipojibu maana yake umevaa chupi chafu. Ukicheka utakuwa umevaa iliyochanika. Ukimuonesha mtu hii sms utakuwa umevaa oversize. "HAPPY CHUPI DAY"
Swali Mzungu mmoja alimuuliza mtanzania mmoja ''nasikia nyie watanzania mkiulizwa swali mnajibuswali, ni kweli?'' Mtanzania naenakajibu, ''aah sio kweli kabisa, nani kakuambia?''