Ring ring
HomeBlogAbout us
Quotes of the day"The whole point of getting things done is knowing what to leave undone."
Mtoto na babu Babu: Mjukuu wangu, kajifiche haraka haraka mwalimu wako amekuja, umeharibuhujaenda shuleni. Mjukuu: Babu kajifiche wewe maana nimemdanganya umekufa.
Taxi Mwanamke aliingia kwnye tax akiwa hana nguo,km alivyozaliwa!Dereva akawa anamshangaa,mwanamke akamuuliza hujawahi kuona uchi au!Dereva akajibu.ninachoshangaa c uchi wako,najiuliza pesa ya kunilipa utakuwa umeiweka wapi?
Vibweka vya housegirl Mama mwenye nyumba "jamani nyie watoto wa nyumba hii, vijiti vya meno nimeleta juzi tu leo vimeisha?"Ndipo hoousgirl akadakia na kusema"mama mimi simo humo maana kila nikitumia nikimaliza tu navirudishiagahumo humo."
Maswali haya je una majibi? JIBU KISHA NITUMIE MAJIBU![mtihani wa maarifa ya dunia] 1. Kama hela haioti kwny miti, kwnn bank zina matawi? 2. Kwnn gundi haigandi kwenye chupa yake? 3. Kama tunatakiwa tusi-drive wkt tumekunywa, kwnn bar kuna parking? 4. Kama neno abbreviation linamaanisha ufupisho, kwnn lenyewe ni refu hvo? 5. Kama tunatakiwa kufanya sex ndani ya ndoa 2, kwnn tunabalehe kabla ya kufunga ndoa? Kazi kwako...
Back
Change Language:

U-ON
Daily: 1 Weekly: 1 Monthly: 1 Total Vistors: 188
All Rights Reserved
2013 All Copy Reserved
© 2013 Arnold Thomas's